Image result for tigo banner

Mourinho kaanza kwa mbwebwe nyingi

 
Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho ameanza mazoezi na klabu yake mpya.
Mashetani hao wekundu wameanza kujinoa kwa ajili ya michezo ya mwanza kabla ya mchezo wa ufunguzi wa ligi (Ngao ya hisani).
   Tarehe 16 akiwa na mchezo wa kwanza na wakirafiki na klabu ya WIGAN ATHLETIC.






No comments

Powered by Blogger.