Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, Hamza bin
Laden ameapa kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua baba yake.
Ameapa kuliendeleza kundi hilo, amesema wako kwenye mpango wa kutekeleza
shambulizi lingine linalofanana na lile la Septemba 11, 2001
Post a Comment