Image result for tigo banner

Picha: Chege na Temba watua Afrika Kusini kuandaa kazi mpya, wakutana na Justin Campos

Wasanii wa muziki kutoka TMK Wanume Family, Chege na Temba wametua nchini Afrika Kusini wiki hii kwa ajili ya maandalizi ya kazi yao mpya.
Temba na Justin Campos
Temba na Justin Campos
Wawili hao kila mmoja amepost picha katika mitandao wake wa kijamii zinazoonyesha wakifanya mazungumzo na director Justin Campos kutoka Gorilla Films.
Hivi karibuni meneja wa wasanii hao, Mkubwa Fela kupitia instagram aliandika:

Mh Temba na mtoto wa Mama Saidi Chege chiiiii walivyo ingia  south Africa asubuhi hii wameenda kujenga kazi wadau kwa pamoja tuijenge nchi yetu.
gg
sss
ssss
WhatsApp-Ima

No comments

Powered by Blogger.