Image result for tigo banner

Azam waonyesha ukomavu wao. Watwaa Ubingwa wa kwanza msimu huu

IMG_0407
Klabu Azam imenyakua ngao ya hisani. Azam wamekwaa ubingwa huo baada ya kuwa pia Young Africans 4-1 kwa mikwaju ya penaliti. Mchezo huo uliisha 2-2 kwa na kuzipelekea kwenda hadi hatua ya penaliti. 
IMG_0279 
Bao la kwanza liifungwa na Donald Ngoma kwa kwanju wa penaliti baada ya kuangungwa kwenye box dakika ya 20. Ngoma alifunga tena bao la pili kwa kuunganisha krosi kutoka kwa Amis Tambwe.
IMG_0323 
Huku magoli ya wana ramba ramba yalifungwa na Kapombe dakika ya 74 na John Bocco ‘Adebayor’ dakika ya 90 kwa mkwaju wa penaliti.
IMG_0391

No comments

Powered by Blogger.