Habari njema kwa mashabiki wa Manchester United
Kocha wa Manchester United Lous Van Gaal amesema atamtumia mbeligiji Marouane Fellaini kama mshambuliaji wa mwisho kwenye mechi ya leo dhidi ya Club Brugge. Mchezo wa leo ni wa kufuzu kuelekea kucheza klabu bingwa barani ulaya maarufu kama Uefa Champions League (UCL). Mchezo wa kwanza Man U walishinda 3-1 nyumbani kwao magoli yalifungwa na Carrick kwa goli la kujifunga Depay 2 na Marouane Fellain 1.
Mkutano wa jana kocha huyo wa United amesema kabla ya usajili kuisha atafanya usajili wa mshambuliaji japo kuwa wapo Rooney, Januzaji, Wilson na Chicharito.
Post a Comment