Image result for tigo banner

Maajabu ya BALOTELLI

Liverpool exited the Champions League as they were unable to beat FC Basel
Mario Balotelli yupo nchini ITALIA klabu ya AC MILAN akifanya vipimo vya afya kwa ajili  ya kujiunga na klubu hiyo kwa mkopo wa msimu wa mwaka mmoja. Ballotelli Mchezajia mtukutu sana ameamua kurudi nyumbani kutoka klabu ya Liverpool ambako aliweza kuifungia klabu hiyo goli moja kwenye ligi kuu uingereza  tangia ajiunge na klabu hiyo mwaka 2014.
Klabu ya AC MILANI imemtafutia Mlinzi wa kumlinda baada ya kutua klabuni hapo kwa ajili ya vipimo vya afya.
AC MILANI wamemchukua mshambuliaji huyo kwa ajii ya kuhimarisha kikosi chao baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa kufungua ligi.
balotelli water gif

No comments

Powered by Blogger.