Image result for tigo banner

Mabeste kuhamia kwenye filamu? Somazaidi

Rapper Mabeste amesema kuwa kuonekana kwake kwenye filamu iitwayo Wake Up hakumaanishi kuwa amepotea kwenye muziki.
mabestee
Mabeste amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa bado yupo vizuri kwenye muziki na filamu aliigiza mara moja tu. “Mabeste kama Mabeste bado anajiingiza kwenye filamu sasa hivi tuseme atakuwa akifanya filamu na muziki,” alisema.
“Mabeste anaendelea kufanya muziki na sasa hivi yupo kwenye harakati za kurelease video, soon nitaachia new video ya nyimbo ambazo nilifanya zamani sio ya wimbo mpya.

No comments

Powered by Blogger.