Image result for tigo banner

New Music sautisol - Isabela


Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya inazidi kufanya vizuri kwenye industry ya burudani ..wamerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia single yao mpya inaitwa ‘Isabella’.
Sauti Sol wanatamba na ngoma zao kama ‘Narea’, ‘Sura yako’ na ‘Shake Yo Bam Bam

No comments

Powered by Blogger.