Tell Everybody: Video ya ‘The Global Goals Campaign’ waliyoshiriki Diamond, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine imetoka, itazame
Video ya wimbo wa kampeni ya umoja wa mataifa ‘The Global Goals Campaign’ imetoka.
Wanamuziki wa Afrika walioshiriki kwenye wimbo huu ni pamoja na Diamond Platnumz (Tanzania), Mafikizolo (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Sauti Sol (Kenya), Toofan (Togo), Becca na Sarkodie (Ghana)
Post a Comment