Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Habari magazeti Tanzania leo Juni 27
Kurasa za
magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 27, 2016. Habari kubwa katika
magazeti ya leo ni ni kuhusu suala la uteuzi wa wakuu wapya wa wilaya
ambao waliteuliwa jana na Rais Magufuli huku wengi waliokuwa madarakani
kutemwa.


Post a Comment