Vazi la Jennifer Lopez kwenye iHeartRadio Festival ni hatari
Jennifer Lopez anafahamika kwa kumwaga radhi kwenye show zake na ndicho alichokifanya kwenye show show yake katika iHeartRadio Festival.
Muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 46 aliangusha show ya nguvu kwenye show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa MGM Grand Garden Arena jijini Las Vegas akiwa amevalia nguo iliyowatoa udenda mashabiki wengi hasa wa kiume. Tazama picha zaidi hapo chini.
Post a Comment