Image result for tigo banner

Video: Belle 9 – Shauri Zao



Belle 9 ameachia rasmi video yake mpya ya wimbo uitwao ‘Shauri Zao, ambayo amekuwa aki tease kwa zaidi ya wiki moja. Baadhi ya mashabiki wametoa maoni yao kuwa huenda hii ikawa ndio video kali zaidi ya Belle 9 kwa kulinganisha na zile zilizotangulia. Imeongozwa na Hanscana
 

No comments

Powered by Blogger.