Image result for tigo banner

Alikiba, Lupita Nyong’o uso kwa uso Marekani

Hitmaker wa Mwana na balozi wa WildAid, Alikiba anatarajia kusafiri kuelekea nchini Marekani akiwa na mabalozi wenzake kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kwaajili ya kutambulishwa pamoja.
ali_kiba1
Kiba ameiambia Clouds E ya Clouds TV kuwa safari hiyo pia itampa uwanja mpana wa kujuana na watu wapya.
“Tuweze kutambulika kidunia kama mabalozi kutokea Afrika na global icon Lupita Nyon’go ili watu waone ni watu gani wanaweza wakawaona kama wanakuja huku kwaajili ya kuinvest na nini,” alisema.
“Halafu pia kuna vitu vingine vya mimi binafsi kuachieve, kuna connection za watu. Pia mafunzo kidogo ya kazi na jinsi gani watu wanavyotakiwa kujua tabia za wanyama. Kwahiyo nadhani ni kazi ambayo ipo out of my music japokuwa mimi ni mwanamuziki.”

No comments

Powered by Blogger.