Barnaba arekodi wimbo na Jose Chameleone
Barnaba amerekodi wimbo na msanii wa Uganda, Jose Chameleone.
Barnaba na Jose Chameleone wakiwa na mpiga picha, Albert Manifesta walipoenda kupiga picha ya kava ya wimbo huo
Wimbo huo unaitwa Nakutunza na umerekodi kwenye studio za High Table Sound zinazomilikiwa na Barnaba.
“With my Broo @jchameleone From #UG Asante sana for you’re Time Asante Sana Leo pale @Hightablesound Kiukweli can’t wait…. Kwakeli Song… #NAKUTUNZA with #Jozeeeeee NovemberLoading,” aliandika Barnaba kwenye picha aliyoweka Instagram.
Kwenye picha hii Barnaba ameandika: With My brother @beatsbykayz From #UG pia Tukiweka Sawa Sauti Ya doctor @jchameleone #studiosession #NAKUTUNZA … ClassiC&DoctorJoze #staytuned ………! inspirationVoice Classic
Jose Chameleone alikuja nchini kwaajili ya kutumbuiza
Post a Comment