Image result for tigo banner

Vanessa: bila Jux nisingeweza kufanya video ‘Never Ever’

Vanessa Mdee amesema mpenzi wake Jux amefanya kazi kubwa katika utengenezaji wa video ya wimbo wake mpya, ‘Never Ever’.
Jux n vanessa
Vanessa alikiambia kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV hivi karibuni kuwa yeye na Jux wanashirikiana katika vitu vingi ingawa mpenzi wake huyo yupo nje kimasomo kwa sasa.
“Yupo China anasoma, lakini tupo poa kabisa,” alisema. Amenisupport kinoma yaani, kwa sababu bila Jux nisingeweza kufanya hiyo video, katika inspiration, motivation pamoja na kuwepo pale, alikuwepo kila siku wakati n-shoot, sitakaa nimwachie Jux,” alisisitiza Vanessa.

No comments

Powered by Blogger.