Image result for tigo banner

Gary Neville Mashakani Baada ya Valencia kupoteza


Baada ya kipingo cha 1-0 kwa Real Betis kocha wa Valencia Gary Neville yupo matatani kupoteza kiburua chake.
Neville tangia awe kocha wa Valencia hajawahi kupata ushindi wowote kwa michezo tisa iliyo chezwa. Baadhi ya magazeti na mitandao imeandika kuwa kocha huyo amejiuzulu. Gazeti la daily mail la uingereza limeandika kuwa bado Neville ni kocha wa Valencia. Neville bado anakabiriwa na kiburua kizito ambapo mechi ijayo anacheza na Barcelona iliyo itundika mabao 7-0 Copa Delay huku Suarez akifunga magoli manne na messi magoli matatu.

Gary Neville akifuatilia kwa makini mech na Betis baada ya kupigwa na mchezaji mmoja wa Valencia (Jose Luis Gaya)kupata kadi nyekundu

No comments

Powered by Blogger.