Tazama Samatta aliyo yasema baada ya mechi ya juma mosi
Mbwana Ally Samatta Captain wa Taifa stars Timu ya taifa ya Tanzanaia. Alisajiriwa na klabu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji kwenye dirisha dogo la usajiri barani ulaya akitokea TP Mazenge ya DRC Congo. Samatta amecheza mechi yake ya kwanza klabu yake mpya akitokea benchi kwenye kipindi cha pili. KRC Genk ilipata ushindi wa goli moja na kupata pointi tatu muhimu na kufikia nafasi ya tano kwenye ligi ya Ubelgiji.
Samatta akiwa Ubeligiji.
Msimamo wa ligi kuu Ubeligiji.
Video Samatta akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu yeye kupangwa kwenye kikosi.
Video Samatta akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu yeye kupangwa kwenye kikosi.
Post a Comment