Image result for tigo banner

Kijana Mdogo afanya makubwa OLD TRAFORD

Marcus Rashford kijana mwenye miaka 18 ameweka rekodi yake kuwa mchezaji mdogo wa klabu ya Manchester United kufunga kwenye ligi ya Ulaya. Pia ameweka historia kwa kugunga mabao mawili kwa mchezo wake wa kwanza na klabu ya Manchester united. United imebuka na ushindi wa 5-1 na klabu ya Midtjylland kwenye ligi ndogo ya ulaya(UEFA UROPA LEAGUE). Marcus Rashford alikataa kujiunga na klabu ya watoto ya Liverpool na Everton pia.





No comments

Powered by Blogger.