Image result for tigo banner

Wema na Idris wanakuja na ‘reality TV show’ mpya


Idris Sultan na mpenzi wake Wema Sepetu wanakuja na reality TV show ambayo itakuwa inazungumzia maisha yao.
Wema na Idris
Akizungumza Jumamosi hii, Idris alisema ameamua kuungana na mpenzi wake Wema ili kuandaa project mbalimbali ambazo zitakuwa zinawaingizia pesa.
“Unajua mkiwa katika mahusiano halafu wote ni celebrity lazima angalau mfanye kazi mbili tatu ambazo zitawaingizia pesa,” alisema Idris.
“Zipo project nyingi lakini tunaanza na reality show. Hii ni nyingine na mpya na itakuwa inazungumzia matukio mbalimbali ya maisha yetu,” aliongeza Idris

No comments

Powered by Blogger.