Kwanini gari la Wema Sepetu lilikamatwa? Jux bado anawasiliana na Jack? Producer Hermy B ana tamaa zake pia…255(+Audio)
Producer Hermy B
kuna wasanii anatamani sana kufanya nao kazi? ”Natamani
kufanya kazi na Maua Sama kutokana na ubora wa sauti yake, mimi huwa
nagombana sana na wasani kwakuwa huwa nataka mtu atoe sauti ninayotaka
kuisikia, Mwingine ni Ben Pol, Zaidi ni Diamond Platnumz, alafu kuna
kitu watu wengi hawajui kama Diamond ni rapper.”
Producer Hermy B
Jux bado anawasiliana na mrembo Jackie Cliff? “Ndio
naongea na Jack ana anaendelea poa, ingawa sio kivile sana, Ingawaje
sipendi kuliongelea suala hili coz hata ndugu zake hawapendi”
Msanii Jux
Baada ya stori nyingi kuandikwa kuwa gari la Wema Sepetu limekamatwa kisa hajalipia kodi zimeifikia 255 na hapa anafunguka “ gari
ni langu, kilichobakitu ni kulisajili lipate namba za Tanzania, kama
unavyojua TRA wanafuatilia sana kama huna namba za njano lazima
wakufuatilie na sasa gari lipo nyumbani”
Wema Sepetu
255 hii hapa kwenye audio na stori zote niliyorekodi kwenye XXL ya leo.
Post a Comment