Yaliyomkuta Mganga wa kienyeji baada ya kutaka kumrudisha mtoto aliyepotea…(Hekaheka +Audio)
Kwenye
hekaheka Kuna mtoto amepotea Kawe, Dar. Baada yakutafutwa kwa muda mrefu
bila mafanikio Mama wa mtoto akaamua kumuita Mganga wa kienyeji ili
kupata msaada, moja ya tukio lililowashangaza watu ni kitendo cha mganga
huyo kushindwa kumpata mtoto na kudai waliomshikilia wana nguvu zaidi.
Mama wa mtoto anazungumziaje tukio zima?
“mtoto
wangu alikuwa anatoka madrasa saa 2 usiku ukiwa na wenzake, baada ya
muda aliwaambia wenzake anaenda chooni baada ya hapo hakurudi tena”
“Tumemtafuta
kila mahali hadi Polisi lakini hajapatikana, wataalam (waganga)
wanakuja kila siku na leo wamekuja, nimeambiwa mtoto yupo hapahapa
mtaani lakini waliomshikilia wana nguvu kubwa hivyo wanamsumbua”
Post a Comment