New video: Alikiba ‘Lupela’ ndio hii imeachiwa tayari
Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya party ya kuitambulisha video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi za mwaliko, ila sasa hivi ameiachia video kwenye Youtube ili kila mtu aitazame… ni video ambayo aliifanya Marekani wiki kadhaa zilizopita…. ukishaitazama acha na comment yako hapo chini ili Alikiba akipita badae ajue mashabiki zake wanasemaje.
Post a Comment