Image result for tigo banner

Hatimaye akaunti ya instagram ya Belle9 yarudishwa, Bifu lao je?

Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>>
2016-03-03-05.55.04

Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>>

BELEEE
‘#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #email mnayoiona hapo juu ndio ya hacker aliekua anapost na kutukana watu ,tunaenda kureport na kama kuna mtu anaweza kutusaidia kuitrack hii email tunamuomba msaada wake…..asante sana @Kingkapita@kapitatechnologylimited kwa kunisaidia kurudisha account yangu #Mungu akubariki #pole sana kwa niliowakwaza‘

No comments

Powered by Blogger.