Image result for tigo banner

Viwango vipya vya soka vya FIFA vimetangazwa March 3, Tanzania ipo nafasi hii

Kama ni mpenzi wa soka duniani basi list ya viwango vipya vya soka ulimwenguni imetangazwa leo March 3, FIFA imetangaza viwango hivyo vya FIFA na nchi ya Ubelgiji ambayo anacheza soka la kulipwa mtanzania Mbwana Samatta ipo nafasi ya kwanza ikufuatiwa na Argentina.
12
Kwa upande wa Tanzania ipo nafasi ya 125 ukilinganisha na miezi miwili nyuma ilikuwa 126, huku kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda imeendelea kuongoza kwa kushika nafasi ya 67 sawa na Israel, Rwanda ipo nafasi ya 85 na Kenya ipo 103. Kwa Afrika nzima Ivory Coast ndio wanaongoza kwa Afrika na dunia wapo nafasi ya 36

No comments

Powered by Blogger.