Image result for tigo banner

Alikiba asaini dili na sony music nchini afrika kusini.

13261070_1578220049138060_345601967_n
Star wa bongo fleva Alikiba leo ameandika historia mpya katika muziki wake ambapo amesaini mkataba wa kusimamiwa kazi zake na kampun ya sony music ambayo pia inawasimamia wasanii wakubwa duniani kama Chris brown, Davido, John Legend na wengine wengi.



Clouds nao wame share picha ikimuonyesha Alikiba akiwa kwenye ofisi za sony music


A photo posted by Clouds Fm (@cloudsfmtz) on

Kila la kheri kwa Alikiba

No comments

Powered by Blogger.