Image result for tigo banner

Alikiba yupo Johannesburg South Africa… hivi ni vitu unatakiwa kujua (Picha)

Mwimbaji staa wa Bongofleva AliKiba yuko Johannesburg South Africa kutia wino kwenye dili zake jipya ambazo zitaishuhudia bongofleva ikikaa kwenye headlines nyingine 2016.
Kuna mambo mapya saba makubwa ambayo yatatangazwa ndani ya saa 48 kuanzia leo May 19 2016 kutokea hapa Johannesburg ikiwa ni hatua kubwa kwake kuwahi kuipiga kwenye muziki.
.
Johannesburg
Baada tu ya kuwasili Johannesburg Alikiba alialikwa kwenye duka maarufu la kuuza vifaa vya muziki Afrika Kusini linalomilikiwa na raia wa South Africa ambaye ni shabiki wa Alikiba na akampa golden chance ya kuchukua bure kitu chochote atakacho kutoka kwenye hilo duka akiwa ameambatana na Meneja wake Seven na Watangazaji Millard Ayo na B12 wa CloudsFM.
.
Alikiba, meneja wake Seven na Mtangazaji wa XXL  ya  Clouds FM B12
.
Alikiba kwenye mahojiano
3X6A0175
.
Alikiba akipewa maelekezo ndani ya duka hilo la muziki.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments

Powered by Blogger.