Brendan Rogers ayapoza machungu ya Liverpool
Alie kuwa kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amepata kibarua kipya ni baaba ya Club ya CELTIC kumtangaza kuwa kocha wao mpya. Rodgers alikuwa hana kazi yoyote baada ya kufukuzwa na majogoo wa London.
Celtic imechukua maamuzi hayo baada alie kuwa kocha wao kuacha kazi.
Post a Comment