Image result for tigo banner

Exclusive ya Alikiba baada ya dili la Sony.

Baada ya kushuka kutoka Afrika Kusini alikosaini dili kubwa na Sonny, msanii Alikiba amefunguka kuhusu wimbo wake mpya wa Aje, na kwa nini kumekuwa na 'version' tofauti tofauti.

Akifanya 'exclusive' interview na Planet Bongo ya East Africa Radio, Alikiba amesema alilazimika kuimba kifaransa baada ya kumtoa M.I kwenye wimbo huo, baada ya kuuvujisha kabla haujakamilika.

Pia Alikiba amezungumzia kuhusu bifu lake na Diamond, wasanii anaowakubali na collabo za kimataifa.
Angalia hii video kusikia alichokizungumzia.

No comments

Powered by Blogger.