Image result for tigo banner

Kunani Diamond na Chris Brown ?

Seems like Diamond Platnumz amewapa taarifa muhimu MTV Base.

13166852_1071913842873783_1859230986_n
Kupitia akaunti yake ya Instagram, kituo hicho cha runinga kiliandika kuwa staa huyo anakuja na collabo na Chris Brown.
“@diamondplatnumz working on a future project with #chrisbrown,” wameandika MTV.
Taarifa hiyo ilipokelewa kwa furaha kubwa na mashabiki wake waliomwaga lundo la comments takriban 900. Comments nyingi ni za mashabiki wanaobishana na kutukanana hata hivyo

No comments

Powered by Blogger.