Utengenezaji
wa video zenye ubora uhusisha ubuifu, mbinu nyingi na vifaa vya kisasa
vinavyoendana na teknolojia iliyopo. Hapo chini ni kipande cha
utengenezwaji wa video ya patoranking akiwa na tiwa sevage kwenye girlie
'O' Remix. Video imeongozwa na director Mr Moe Musa kutoka nchini
Nigeria mwenye makazi yake nchini Uingereza. Itazame na utoe maoni
yako.
Patoranking ft Tiwa Savage - Girlie 'O' Remix - Behind the Scenes - Directed By Mr Moe Musa from
LORAA on
Vimeo.
Post a Comment