Navy kenzo wamjia juu chin bees
Wakali hao wa kibao cha kamatia chini wamemjia juu chin bees baada ya kuweka wazi kuwa yeye ndiye muandishi wa wimbo huo verse ya kwanza na ya pili kiasi cha kumwambia wamlipe kwa mistari yake.Licha ya nyimbo ya kamatia chini chin bees ndiye ameandika pia wimbo wa never ever wa V money
Post a Comment