Image result for tigo banner

Nisher alalamika kupoteza shilingi milioni 3.9 kugharamikia video ya Arosto ya G-Nako aliyoikataa na kuifanya tena na Hanscana

Nisher analalamika kupoteza takriban shilingi milioni 3.9 kugharamia video ya wimbo wa G-Nako aliowashirikisha Nick wa Pili na Chin Bees ‘Arosto’ ambayo Warawara anadaiwa kuipotezea baada ya kutoipenda.
Nisher 2
Nisher amefafanunua kwa kina kwa kupost video Instagram baada ya kubaini kuwa G-Nako aliirudia video hiyo na Hanscana na kuiachia jana.


No comments

Powered by Blogger.