Image result for tigo banner

Picha: Baraka Da Prince studio na Prezzo

Ni Usiku wa  Mei 25 , 2016  ambapo muunganiko wa ladha mbili tofauti kutoka  Tanzania na Kenya unagusa headlines za burudani baada ya wasanii wawili Baraka Da Prince na Prezzo kuingia studio na kuandaa single yao mpya itakayotoka hivi karibuni.
Single hiyo mpya imetayarishwa katika studio za Fishcrab chini ya producer Sappy, hizi ni baadhi ya picha kutoka studioni hapo.
.
.
.
.Msanii kutoka Nairobi Kenya, Prezzo akitayarisha single mpya anayofanya na Baraka De Prince katika studio za Fishcrab
.
.
.
.
.
.
.
.Pichani:Producer  Sappy ndie amehusika kutayarisha single hiyo mpya ya Prezzo na Baraka De Prince
.
.
.
.Kushoto ni msanii kutoka Kenya Prezzo akiwa studio na Baraka De Prince
.

No comments

Powered by Blogger.