Image result for tigo banner

G - Nako kutambulisha video yake mpya 28/May aliyowashirikisha Jux na Quick Rocka

Msanii kutoka kundi la Weusi anayetamba na ngoma kali kwenye Television na Radio ndani na nje ya nchi kwa vibao vyake kama Original, Arosto na nyingine nyingi weekend hii atakuwepo Azura Beach akifanya Launching ya video yake mpya aliyowashirikisha Jux pamoja na Quick rocka wimbo unaitwa "Hapo"


No comments

Powered by Blogger.