Charles Kitwanga apata mrithi. Habari magazeti ya leo Juni 12
Kurasa za magazeti ya Tanzania leo Jumapili Juni 12, 2016. Habari
kubwa katika magazeti ya leo ni uteuzi wa Mbunge Mwigulu Lameck Nchemba
kuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Amechukua nafasi iliyoachwa
wazi na Charles Kitwanga.
Post a Comment