De Gea Nje EURO 2016 ahusishwa kwenye Kesi ya Kmnyanysa Mwana Mke Kingono
Golikipa namba moja wa Spain na Manchester United anakabilwa na kesi ya kuhusika kumzalilisha ki ngono mcheza filamu za ngono.
Golikipa huyo anae jiandaa na mashindano ya EURO 2016 nchini Ufaransa habari kutoka kwenye kambi ya Spain zinasema Nyota huyo wa mashetani wekundu ameondolewa kambini na tayari yupo nyumbani kwake kwa ajili ya kujibu tuhuma hizo.
De Gea na rafiki yake Muniain inasemekana walifanya kitendo hicho mwaka 2012. Mfanya biashara wa picha za ngono Ignacio Allende Fernandez amesema De Gea walimfanyia kitendo hicho mfanyakazi wake na ameamua kupeleka kesi mahakamani huku akiwa na mashahidi wa kutosha na wenye uhakika kwa kesi hiyo.
Kesi hiyo inamkabili Muniain ambae yuko likizo kwake huku De Gea akikabiliwa na tuhuma za kupanga mipango ya kuweza kukutanakwa msichana huyo na Muniain.
Kesi hiyo ina mashaidi wa 3 ambapo mmoja wapo amesema kuwa alifanyiwa kitendo cha kikatili. Mashahidi hao walitoa ushaidi wao wa kwanza mwaka 2015 tarehe 3 mwezi wa 6.
Post a Comment