KLABU ZA UJERUMANI BUNDERLIGA ZIME TOA TOFAOUT ILIYO KUWEPO NA EPL
Ligi kuu Ujeruman maarufu kama BUNDESLIGA imepata haki mpya ya matangazo ya kurusha matangazo yao ya mpira kwa gharama ya EURO BILLION 4.64 kwa kipindi cha miaka 4 imetangazwa hapo jana na chama cha mpira ujeruman DFL. Mkataba huo utaweza kuongeza kipato cha chama hicho kwa asilimia 85.
Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Bayer Leverkusen Michael Schade amesema "Mkataba huo utaondoa tofauti kubwa iliyo kuwepo kati ya klabu za uingereza na Ujerumani.
Post a Comment