Matukio katika picha: Show ya BET Awards 2016
Wikiendi hii jijini Los Angeles Marekani tuzo za BET zilitolewa na
kuhudhuriwa na mastaa kibao. Beyonce, Kendrick Lamar, Alicia Keys, Usher
na wengine ni miongoni mwa mastaa waliotumbuiza. Tazama picha hizi
mbalimbali za show hiyo.
Post a Comment