Mayunga asimulia alivyopagawa alipoiona nyumba ya kifahari ya Akon
Pamoja na kwamba humsikii sana kama zamani, Akon ni tajiri mkubwa.
Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star, Mayunga amedai kuwa
alipagwa alipoiona nyumba ya msanii huyo alipoenda kurekodi wimbo naye
nchini Marekani.

“Nyumba yake acha kabisa, sijui imeshikiliwa na vioo! Lakini sasa nilipofika pale nimeshangashangaa mtu niliyenaye ananiambia ‘Mayunga hii nyumba sio kubwa, sasa si unaenda Tanzania kwanza, ukirudi ukija Atlanta utaiona nyumba ya Akon sasa.’ Hiyo ya Atlanta ndio kama mansion yenyewe ambayo ambapo Konvict yenyewe ndio iko pale,” Mayunga alikiambia kipindi cha Chill na Sky

Post a Comment