Image result for tigo banner

Picha: Maonesho ya pili ya Usanifu majengo (Architecture) yafanyika chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya


Chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia kutoka jijini mbeya jana tarehe 4-June kupitia idara yake ya usanifu majengo (Architecture Department) waliandaa maonyesho ya kazi zao za kisaa zilizofanyika katika ukumbi wa nyerere na kuishia kwenye viwanja vya maonyesho vilivyopo chuoni hapo. Maonyesho hayo ni ya pili kufanyika chuoni hapo ambapo kwa mara ya kwanza yalifanyika 
25 April 2015












Makamu mkuu wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Prof. J.J Msambichaka akipata maelekezo ya kiufundi kutoka kwa wanafunzi walio andaa kazi hizo





Wanafunzi kutoka idara ya usanifu majengo wakiwa kwenye picha ya pamoja





Wanafunzi kutoka idara ya kusanifu majengo wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wakuu wa chuo




Wanafunzi kutoka shule mbali mbali za sekondari jijini mbeya pia walialikwa kujifunza mamb mbai mbali yanayofanywa na wanafunzi waliopo chuoni hapo








3 comments:

Powered by Blogger.