Picha 19 mazoezi magumu zaidi ya majeshi ya nchi tofauti duniani
Mazoezi
kwa wanajeshi ni kitu cha muhimu sana. Majeshi duniani huhakikisha kuwa
wanawafunza wanajeshi wao mafunzo ya kuikakamavu kuweza kuwajenga
kimwili na kiakili ili kuweza kupambana na hali tofauti tofauti
wanazokumbana nazo wakiwa vitani au katika mazingira mengine.
Hizi hapa ni picha za majeshi tofauti tofauti duniani zikionyesha mazoezi magumu ambayo huwa wanfanya.
Post a Comment