Image result for tigo banner

Tazama naibu spika wa bunge la jamuhuri ya tanzania na wabunge wakiserebuka kwenye show ya Lady Jaydee Dodoma(ndindindi........


Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, wikiendi iliyomalizika aliunga wabunge wengine pamoja wapenzi wa muziki kwenye show ya Lady Jaydee ya Naamka Tena Tour mjini Dodoma.
Show hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Royal Village huku pia Mkuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez akihudhuria.
Kwenye show hiyo Lady Jaydee alitumbuiza pamoja na bendi yake
Untitled

DOM 15



DOM 12


DOM 11


DOM 7


DOM 6


DOM 5


DOM 4


DOM 3


DOM 2


DOM 14
Lady Jaydee akiwa kazini


DOM 8
Mbunge wa Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji akizungumza na Alvaro Rodriguez

DOM 9


. DOM 10
DOM 13
DOM 16

No comments

Powered by Blogger.