Image result for tigo banner

Kevin Gameiro Awakimbia Sevilla baada ya kuwatumikia miaka mitatu

Kevin Gameiro
Kevin Gameiro amesaini mkataba wa miaka minne Atletic Madrid akitokea Sevilla . Mshambuliaji kutoka Ufarasa ana umri wa mika 29. 
Gameiro aliweza kufunga magoli 67 ndani ya miaka mitatu akiwa Sevilla. Hakuna kiwango cha pesa kilichowekwa azarani lakini vyombo vya habari mbali mbai kutoka Uingereza na Uhispania wameripoti ada ya pound million 28 ambazo ni sawa na EURO 32 millioni.

Klabu ya Atletic Madrid amethibitisha usajiri huo. Kevin atasafiri siku ya leo kwa ajili ya vipimo klabuni hapo.

follow us on facebook,twitter @oneclicktz

No comments

Powered by Blogger.