Image result for tigo banner

Isla kuelekea Westham kuikimbua Munich na Leverkusen

Giuseppe Bellini/Getty Images Sport
Mauricio Isla kujiunga na Westham ya nchini Uingereza. Baada ya Ujio wa Alves akitokea Bercelona na kujiunga na Juventus . Kumekuwa na tetesi za beki huyo kuihama klabu hiyo. Hapo mwanzo vyombo vya habari vimemuhisha beki huyo kujiunga na Bayern Munich, Bayer Leverkusen, Cagliari na  Watford.  

Beki huyo mwenye miaka 28 anauzoefu na ligi kuu ya Uingereza alichezea QPR msimu wa mwaka 2014/15 kwa mkopo. Huku msimu ulioyo isha alikuwa Marseille kwa mkopo pia. Ameshindwa kuonyesha umahili wake huko Ufaransa na ikambidi arudi Juventus.

No comments

Powered by Blogger.