Baada ya kukaa kwa kimya muda mrefu kwenye muziki, Diva amerejea tena kwenye game kwa kuachia wimbo wake ‘Baby Boy’ aliowashirikisha Bill Nass na Mr Blue. Wimbo umetayarishwa na Lamar.
Post a Comment