Image result for tigo banner

Picha: collection ya mavazi aliyoizindua Martin Kadinda nchini Afrika kusini

Mbunifu wa Mavazi wa Tanzania, Martin Kadinda usiku wa jana alizindua collection yake mpya katika uwanja wa kimataifa wa mpira Cape Town-Afrika Kusini katika wiki ya maonesho ya mavazi ya kiume nchini humo.
Kadinda1
Collection hiyo ameipa jina la Mwanana. Amesema amezipa jina hilo katika kusherehekea upepo mwanana unaopatikana katika pwani za bahari ya Hindi ikiwa ni kivutio tosha kwa watalii kutembelea pwani za kisiwa cha Zanzibar, Tanga, Bagamoyo na Dar es Salaam.
Kadinda2
Kadinda3
Kadinda4
Kadinda5

Credit: Simon Deiner / SDR Photo

No comments

Powered by Blogger.