Image result for tigo banner

Ronaldo ampongeza :::::::::kwenda Barcelona



 
Cristiano Ronaldo ampa mpongeza rafiki yake Andre Gomes baada ya kutimiza ndoto yake ya kuichezea Bercelona. 
Gomes mwenye miaka 22 amajiunga na Barcelona kwa kitita cha poundi milion 46 akitokea Valencia. 
Gomes ameungana na Samuel Umtiti, Lucas Digne na Denis Suarez yakiwa ni maingizo mapya kwenye kikosi cha Bercelona.
 

No comments

Powered by Blogger.