Image result for tigo banner

Pogba avunja ukimya wa mashabiki wa soka ,;;;;; kuelekea Manchester United

Paul Pogba
Paul Pogba ni jina linalo tikisa vyombo vya habari sana duniani kwa wiki mbili sasa babada ya kuhusishwa kurudi kwenye klabu yake ya Zamani Mancchester United. Kiungo huyo ananyatiwa na UTD kwa ada ya uhamisho wa pound million 105.
 
Jose Mourinho ansubiri kumsaini kiungo huyo lakini dili lote linakwamishwa na wakala wa kiungo huyo Mino Raiola.

Leo hii Pogba ametoa ukimya baada yak u sign t-shirt namba 6 ya shabiki mmoja wa Manchester United huko Marekani. Pogba yupo marekani kwa mapumziko baada ya kuisha mashindano ya Euro 2016.
 

 

No comments

Powered by Blogger.