'Sawa na wao" ya lady jay dee kutambulishwa EA Beakfast

Lady jay dee anatarajia kuachia hewani wimbo wake mpya jumatatu 04 july . Kupitia twita akaunti yake jide ameandika
"Sawa Na Wao Itatambulishwa East Africa Radio Asubuhi ya Jumatatu 4 July 2016 Utegee Sikio"
Sawa Na Wao Itatambulishwa— Lady JayDee (@JideJaydee) July 3, 2016
East Africa Radio
Asubuhi ya Jumatatu
4 July 2016
Utegee Sikio pic.twitter.com/ZkgnLa6MgY
Post a Comment