Image result for tigo banner

Machester United wa nyakua kombe la kwanza Wakiwa na Mourinho.

Zlatan Ibrahimovic celebrates scoring to put United 2-1 up in the Community Shield
 Manchester United wameweza kunyakua ubingwa wao wa kwanza msimu huu wakiwa na kocha wao Jose Mourinho. Ukiwa ni ubingwa wao wa 21 wa ngao ya hisani.
Manchester United wameifunga Lester city mabao 2-1 na kuweza kunyakua ubingwa huo.
Magoli ya manchester United yamefungwa na Lingard na Ibrahmovic huku goli  la klabu ya Leister City na la kusawazisha likifungwa na Vardy


Vardy
Lingard celebrates scoring
Zlatan scores

No comments

Powered by Blogger.